Nyeri siblings own slum neighbouring State House

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,219
79,506
Nyeri siblings own slum neighbouring State House
By
Haddasah Makena
-
February 17, 2019
0
796
slum2.jpg

Sego slum next to State House, Nairobi.

Few metres from the gate of the State House, Nairobi lies an informal dwelling that seems out of the place but is said to be the safest Kijiji in Kenya.

Sego is its name and it sits on 3.5 acres, placed between State House Road and Jakaya Kikwete Road in Kilimani. It is owned by six siblings from Nyeri County who prefer to keep low life and shares little about its history.

Mzee Felix Gikandi, 72 one of the siblings says it is a family inheritance. They bought from Whites in 1960s but it was a home that went up in flames in 1998. They later built cheaper houses that became a slum that looks like an island of a kind.

slum1-300x160.jpg

Sego slum seen from State House Road near Ikulu.

They say they aspire to put up buildings that will match with the locality. There has been an attempt to grab the plot by a former kanjo director in the 1990s.

But how did the name Sego came about? A bar known as Chego owned by a Kalenjin man in early 2000s gave the slum this name that replaced the earlier Kilimani name.

About 400 people reside here paying slightly over Sh5, 000 monthly rent but their immediate neighbours part with Sh100, 000 and more. But despite living in the upmarket they are not invited in the neighbourhood barazas.

slum4-300x201.jpg

Inside Sego slum next to State House.

Gikandi says they enjoy steady water, power supply and high security. Majority tenants work in neighbouring homes but they remain strangers with each other including Ikulu residents, save for former President Mwai Kibaki who would wave at them.

The slum feeds workers in these upmarket areas but weekends dwellers when not drinking in bars there or chatting outside their houses they walk around Hurlingahm, Kilimani, Upper Hill or City Centre.

  • Thanks
Reactions: UCD
Hapa state house pale slums

Ule usemi kwamba nairobi kuna slum zaidi ya hamsini, nimeanza kuelewa..sijawahi kusikia hii SEGO Slum,juzi hapa tulisikia nyingine inaitwa SHAURI YAKO slum,nyingine inaitwa SINA MAKOSA slum ambayo ina slum dwellers 300000!
 
Hii mpya hii sehemu ilikuwa inaitwa Kilimani mpaka mida ya 2000 wakazi wake walipopabatiza Sego slum so technically ikulu ya Kenya ipo Sego slum!
 
Hapa state house pale slums

Ule usemi kwamba nairobi kuna slum zaidi ya hamsini, nimeanza kuelewa..sijawahi kusikia hii SEGO Slum,juzi hapa tulisikia nyingine inaitwa SHAURI YAKO slum,nyingine inaitwa SINA MAKOSA slum ambayo ina slum dwellers 300000!
Kama Nairobi pekee imezungukwa na slums zaidi ya kumi unategemea nini 😂😂😂
 
Hapa state house pale slums

Ule usemi kwamba nairobi kuna slum zaidi ya hamsini, nimeanza kuelewa..sijawahi kusikia hii SEGO Slum,juzi hapa tulisikia nyingine inaitwa SHAURI YAKO slum,nyingine inaitwa SINA MAKOSA slum ambayo ina slum dwellers 300000!
slumhub tunaflyaover zaidi ya 50 na multinational company zaidi ya 50
Glorified village

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ya mmiliki wa kipande hicho cha ardhi jirani na ikulu imeheshimiwa- huu ndio utawala wa sheria. Nchi za kidekta siku nyingi ametimuliwa eti slum jirani na ikulu inahatarisha usalama wa rais.
 
Basi wangemuacha huyu aingine ikulu bila kumshambulia.

Hapa state house pale slums

Ule usemi kwamba nairobi kuna slum zaidi ya hamsini, nimeanza kuelewa..sijawahi kusikia hii SEGO Slum,juzi hapa tulisikia nyingine inaitwa SHAURI YAKO slum,nyingine inaitwa SINA MAKOSA slum ambayo ina slum dwellers 300000!
Nyingine inaitwa NUBIAN SLUM sijui kwanini wameipa jina la uchii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka census data ya kila eneo Nairobi, ilitoka ya 2019, ujisomee mwenyewe, ujue jumla ya slum dwellers in Nairobi, uwache porojo, Kibera mulinyamaza baada ya kibaini wako less than 200k, wengi mulisema eti ni 3million, ili kujipumbaza. Weka hizo slums with data., usiseme nimepika, wacha uzembe, fanya utafiti.
Swali mbona mko na Multidimensional Poverty ya hali ya juu upande wa EAC na pia SADC? sielewi kabisaa na hii mijisifa yote ya watz!

Sisi huwa hatu-deal na hizo data kutoka kwa hao mabwana zenu from Europe,sisi tuna-deal hasa na uhalisia,kibera ni 2.5million dwellers, sina makosa slums ina 300k,ukiachana na slums nyingine lukuki wakazi wa nairobi almost 60% wanaishi kwa worst slums,elewa "worst slums"
 
Census ni data za europeans
Ukwel mchungu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi huwa hatu-deal na hizo data kutoka kwa hao mabwana zenu from Europe,sisi tuna-deal hasa na uhalisia,kibera ni 2.5million dwellers, sina makosa slums ina 300k,ukiachana na slums nyingine lukuki wakazi wa nairobi almost 60% wanaishi kwa worst slums,elewa "worst slums"
Zitaje hzo slums halafu ulete na hyo idadi ya watu...
Halafu na mimi nikuletee idadi ya middle clas areas km vile umoja

Hapa naona mtu akikimbia au ku change gear hewani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukianza kuhesabu hapa hamsini zinafika..
Sasa jiulize mji wenye km/sq 600 unakuwa na slums zaidi ya hamsini,halafu ukizingatia nairobi haijajengwa kabisa 3/4 ya mji wote ni miti,misitu,na vichaka. Sehemu ndogo tu ndo imejengwa
Hku westlands imejengeka eneo kubwa kuliko cbd, kariakoo na upanda...
Vichelesho jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom