johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,689
Nikiangalia namna CCM inavyosukwa upya na jinsi udumbuaji wa ruzuku ya CUF unavyowekwa hadharani na viongozi wa CUF ambao ni sawa tu na CHADEMA na vyama vingine vya upinzani nadiriki kusema Nyerere ni Nabii.
Ahsanteni!
Ahsanteni!