Hao Wahindi Waliouwawa yawezekana ni amri ilitoka kwa karume kenge tena yawezekana hao waliouwawa walikuwa inner cycle wa sultan au Karume kenge aliona hatoweza kuwaongoza kwa usalama waarabu... kiufupi karume hakuwapenda
japo nae alipopoa muarabu Matokeo ya
Their woman Raped?
Karume hakufanya malinduzi aliwekwa na mauaji makubwa yalifanywa na masanara wa tanganyika walioletwa
Karume alibadilika aliposhika madaraka na kuwamaliza viongozi wenzake ambao aliona wangempindua
Kimsingi mauaji makubwa yalifanywa na John okello na askari wake kutoka tanganyika ambao kambona ndo alikua kiungo
Karume alikaa na waraabu na wahindi alililewa nao
Akipinga tu znz kupata uhuru na kuwa nchi ya monarchy
Hakupinga kuingia uchaguzi wa uhuru
Mauaji yalifanywa mpaka kwa warabu na wafadhilo wake mmoja ni Salim Bakhressa baba wa huyu bakhressa wa azam alikua haoni huyu mzee na akifahamiana na karume
Nduo kisa cha karume kupanda ndege kuja kwa nyerere kumwambia mtu wake okello atawamaliza wa zanzibari amdhibiti ndipo nyerere akamwita okelo dar na kumresha kwao
Na kwa ufupi mapinduzi ya znz yamewekwa rasmi kwenye kesi ya genocide against humanity
Na kuna siku watu watashtakiwa hata kama wamekufa