Siyo kweli! Alikuwa anaongelea HALI YAKE MWENYEWE. Sauti hii ya Nyerere ni ya miaka ya 70....Tutasemaje "anamshauri" Raisi wa sasa hivi akiwa hayu Duniani?
......Wa awamu ya 6?Ukiwa unaongelea kitu unaweza fikiri unajiongelea wewe kumbe kiuhalisia unakuwa unatumia mdomo kuongelea kizazi kingine. Nyerere hayati, alikuwa anaongelea uongozi ujao na de facto ni Magufuli .
whatever wing sauce.......Wa awamu ya 6?
Ok. Niliposema "miaka ya 70", sikuwa na wazo la mwaka MAHSUSI. Bali, kulingana na SAUTI ya Mwalimu Nyerere nilivyoisikia katika Hotba iloletwa Jamvini, "nilirudi nyuma" kipindi nilichotaja. Hata hivyo 1981, "haiko mbali sana" na kipindi nilichokisema.....Ilikuwa tarehe 1/05/1981 huko Tabora....sio miaka ya 70...
Hapo umenena vema ndugu yangu. Na manyang'au woooote WANAOTUPGIA makelele, lazima TUWASHINDE....Makelele pigeni, lakini binti lazima afikiwe na atupatie dawa tuwanyunyuzie mpate kutoka ktk hali ya mawe.
Makelele pigeni, lakini binti lazima afikiwe na atupatie dawa tuwanyunyuzie mpate kutoka ktk hali ya mawe.
Sana. Asante. Nimeona. Ilikuwa siku ya Mei Mosi.....Sawa ila nimekutajia mwaka,mwezi na tarehe halisi ili na wengine wapate kujua.Sababu hotuba yenyewe ni muhimu na ina ujumbe mzito.
.....Haja ya mja hunena: Uungwana ni VITENDO...Jibu lako linaonyesha "nakubali yaishe' ....