Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 820
- 917
Shule mmeipa jina la kikurya[/QUO
Endelea kutafuta majina ya kikuda ya hao mashoga wa Ugahibun kule watu wanajiita Waitara, Chacha nk nk nk lkn wanapamba mbaya. Na hiyo shule usemayo ina jina la Kikurya imetoa Madon kibao tu ambao wanafanya uwe nyuma ya kiibod leo. Wape hi Luzangi na Mgoya Kitambo sana hiyo 98 Nyegina kupiga ndondo
Ni shule ya mseto inamilikiwa na kanisa katoliki jimbo la Musoma,tunazo kumbinations za PCM,CBG,HGL NA PCB.SHULE IKO UMBALI WA KM 16 KUTOKA MUSOMA MJINI.INA HUDUMA ZA HOSTELI,UMEME NA MAJI.KWA MWAKA HUU 2018 NDO TUNATOA WANAFUNZI WA KWANZA FORM SIX,KARIBU KWA AJILI YA KUJIUNGA FORM FIVE-2018,JULY.KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE 0789443404 /0762364740
Hata mm nilitaka niulize mpaka wanachagua hili jina, majina yalikuwa yameisha ? mbona kuna watakatifu wengi tuu.Jina hilo haliwezi kubadilika? anyway wasomeshaji wanakuja mi natania tu
Nnachofahamu kwakuwa nimewsi kuishi huko. Nyegina ni kijiji na shule ipo katika kijiji cha Nyegina hivo ikaitws jina la kijiji husikaInterest yangu kubwa ipo tu katika kujua ni kwanini waliamua kuiita hiyo Shule hilo jina la Nyegina? Hatutaki Watoto wetu Wakishahitimu hapo wawe na ' Nyegina ' nyingi ambazo zitawasababishia matatizo mbalimbali.
Mkuu leo una akili zako za usiku[emoji23] [emoji23]Interest yangu kubwa ipo tu katika kujua ni kwanini waliamua kuiita hiyo Shule hilo jina la Nyegina? Hatutaki Watoto wetu Wakishahitimu hapo wawe na ' Nyegina ' nyingi ambazo zitawasababishia matatizo mbalimbali.