Nyani Ngabu & Co: Mlio USA na nje ya Africa tupeni uhalisia wa picha hili

Huo ugonjwa unakolea sana kwenye baridi. Mvua au hali ya majimaji ndio mana Dar iliponyesha mvua siku nzima idadi ya wagonjwa ikadabo. Hii masika na hili gonjwa ndio hatari zaidi.
 
Corona inaua weusi zaidi ya weupe.

sio suala la kukosa huduma. Waingereza huduma ya afya ni bure na sawa kwa kila mtu lakini wamekufa weusini zaidi ya asilimia70.

hata madaktari wanaokufa weusi ni wengi zaidi.

jiandae weusi wanakufa wengi
Source ya hii habari plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuombeane tu maana hakuna namna
Watu wanapukutika vibaya na kila siku Bora Jana ila tunajipa moyo tu
Takwimu zinapanda na zinashuka ila wengi wamerudisha namba
katika kila watano wanaokufa mmoja kafa kwa Corona
Wanakolelea wazee ndio usiseme zaidi ya 4000 wamekufa
Na sasa wanapimwa wote kwenye Nursing homes
Jamani hili gonjwa halina utani
Fuateni ushauri


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Live longer mkuu
 
REPORT YA WAGONJWA WA MLIPUKO WA HOMA YA MAPAFU AKA CORONA VIRUS.
DUNIANI KOTE KUNA WAGONJWA WA CORONA VIRUS MILIONI 1, LAKI 9 ELFU 78 NA 769 .
WALIOKUFA NI LAKI 1 ELFU 25 NA 196. AMERIKA PEKE YAKE KUNA WAGONJWA LAKI 5 ELFU 98 NA 670. AMERIKA WALIOKUFANI ELFU 25 NA 239.

 
MTz uko Chicago, nini kinakufanya uwe masikini? Na inaelekea umeikubali hiyo hali unajihesabu kama mmoja wa hao wazaliwa wa huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!afadhali nimekuona kaka.Niwatakie afya njema wewe na family huko mliko.Kila la kheri.
 
Kiranga..Ebu mtafute Nyani Ngabu basi.
Jana nimemuona afrondezi humu aisee.
 
Jamaniii be safe bana.
 
Ugonjwa unashambulia Kani chuma kwenye mapafu zinazobeba hewa nakshi kwenye chembe nyekundu, sidhani Kama hizi zinatofautiana Kati ya mtu mweusi na mzungu
 
Jamaniii be safe bana.

Shukran sana
Kwa kweli maisha yamebadilika sana tunaogopana
Ukikutana na mtu barabarani unamkwepa hatua kumi ama anakukwepa
Kila baada ya siku 5 natoka mara moja kwenda kununua mkate na maziwa tu
Nje kunatisha kukiwa hamna watu asikuambie mtu
Nawaombea sana na nyie hili gonjwa lisiingie kwa kasi ya huku maana mmh


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…