Katika hali isiyo yakawaida
leo jioni wakati wakuchangia bajeti, bwana Nyangwine huku akijua kuwa
analolisema linaweza kutafsiliwa vinginevyo amemponda waziwazi bosi wake
Mwigulu Mchemba kwa kuvaa bendera ya taifa shingoni.'' Mh. spika kuhusu
vazi la taifa ninaomba utaratibu wa kupata vazi la Taifa ufanyike
haraka ilikuondokana na hali ya watu kuvaa bendera ya Taifa kama
anavyofanya Ndugu yangu Mwigulu'' hali hii ilimfedhehesha sana Mwigulu
nakutoamini kama maneno haya yanatolewa na mbenge wake wa CCM. kama
asingekuwa ni mbunge wa CCM bila shaka angeomba mwongozo. Bwana Mwigulu,
kuvaa bendera shingoni ni kutojitambua. ACHA hadi wenzio
hawapendezwi