Nyamlani Amfunika Malinzi Leo Live!!

mambo byele hatimaye Mungu amesikia maombi. husisahau kumpelekea pole zake mzee wa double cross. teh! na safari hii atakaye mzonga usoni atatoa tu, hata kama ni "jero"

Za moto za Takukuru zinamsubili, huyu nakula naye sahani moja kaa hapa JF utakuja kushuhudia ninayokwambia, muda wa kuchekeana na kulea wala rushwa umepita.
 
hivi ni wewe au mtu mweingine anatumia id yako...........inaonekana una hasira naye sana

hahahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
imeandikwa usimwache mchawi aishi ula rushwa wa Nyamlani naufananisha na uchawi
 
mambo byele hatimaye Mungu amesikia maombi. husisahau kumpelekea pole zake mzee wa double cross. teh! na safari hii atakaye mzonga usoni atatoa tu, hata kama ni "jero"

saa hizi naona ameshaanza kutenga msiba.
sijui wiki hii itakuwaje pale mahakamani.
sasa ujue watu ni washenzi wamebandika picha zake na makoment pale mahakamani jins alivyoshindwa eti wale walinzi walikuwa wanahangaika kuyatoa. kwa ushenzi wakabandika kwenye miti ya nje ya mahakama na ule ukuta wa pale nje kabisa usokuwa wa mahakama.
 

Tunashukuru uchaguz wa tff, kwani tumejua madudu mengi ya nyamlani, na angeshinda uraisi huyo, tff sijui pangekuaje!
 
hahahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
imeandikwa usimwache mchawi aishi ula rushwa wa Nyamlani naufananisha na uchawi
mwalimu ulishawahi kwenda na kesi yako akazingua nini ....
 
ahahah haha qwi qwi qwi, atakimbia hadi kivuli chake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Za moto za Takukuru zinamsubili, huyu nakula naye sahani moja kaa hapa JF utakuja kushuhudia ninayokwambia, muda wa kuchekeana na kulea wala rushwa umepita.
mkuu ukimwaga mchele penye kuku wengi watautafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…