Nami nafuga bata wengi, mwenye kutaka bata ani pm
mapishi tatizo!Nami nafuga bata wengi, mwenye kutaka bata ani pm
aina ya bata?Mkuu unafuga bata wa aina gani?
Bata wa kuliwa:bata mzinga ,bata bukini,na bata "he-he-he" wa kawaida!aina ya bata?
bata sio bata tu au pia wapo wa kizungu?
Au mzinga?
hebu weka picha zao tuwajue?Bata wa kuliwa:bata mzinga ,bata bukini,na bata "he-he-he" wa kawaida!
Picha sina ulizia ulizia wafugaji wa vitoweo mabawa watakufumbua macho na ulimi!hebu weka picha zao tuwajue?
wengine tumezoea bata wa kawaida lol!
Bata walinishindaga
Jaribu mdudu
mdudu gani