Nyama (Veitnam)

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,407
Nyama ya Mbwa sokoni Veitnam .. kumbe wachina hapo alone katika swala zima la misosi ya ajabu ....


 
du si mchezo hapo ka mbuzi vingunguti
 
Ikiwekwa kwa chungu na chachandu hutajua kaka!
 
DUUUUUUU,,,Ila yamenona ile mbaya!
 
Hii kitu tamu kinoma, yaaani hata mbuzi katoliki haioni ndani. We acha tuuuuuu! Da udenda unanitoka, hata hivyo nafaidi kwa picha.
 
Hii kitu kila mtu anatumia bila kujua hasa wapenda kitimoto na nyama ya mbuzi na kondoo pia huko kwenye mahotel na mabar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…