Nyakahura ipo Mkoa wa Kagera.Habari za leo jamani. ninahitaji msaada wa mawasiliano ya moja kwa moja wa shule ya Nyakahura Secondary. kijana wangu kachaguliwa huko.
Acha kumtisha bhana!,mbona iko bomba tu,mimi huwa ninapita shuleni hapo kwani sipo mbali sana na shule.Nyakahura unajua ilipo kwanza? kama kijana kasoma mjini sidhani kama mazingira ya huko yatakua rafiki kwa kujisome
Umekaririshwa nyambizi wewe!! Siku hizi pale kuna umeme full time, siyo enzi za wakimbizi wa Rwanda hizi! REA imefanya yake huko, kama Nyakanazi tu kwenyewe sasa pana umeme sembuse Nyakahura? Wacha kumtisha mtoto wa mwenzio. Hali ya hewa iko njema sana pale utafikri uko Rwanda vile!Nyakahura unajua ilipo kwanza? kama kijana kasoma mjini sidhani kama mazingira ya huko yatakua rafiki kwa kujisome
Asante kwa kuniita nyambizi,uwe na siku njema .niko familiar na maeneo hayo,nilijaribu kuongea kitu ninachokifahamu.kuwa mstarabu hata kama mtu katoa comment inayokinzana na maono yakoUmekaririshwa nyambizi wewe!! Siku hizi pale kuna umeme full time, siyo enzi za wakimbizi wa Rwanda hizi! REA imefanya yake huko, kama Nyakanazi tu kwenyewe sasa pana umeme sembuse Nyakahura? Wacha kumtisha mtoto wa mwenzio. Hali ya hewa iko njema sana pale utafikri uko Rwanda vile!
Kaka achana nao usibishane sanaAsante kwa kuniita nyambizi,uwe na siku njema .niko familiar na maeneo hayo,nilijaribu kuongea kitu ninachokifahamu.kuwa mstarabu hata kama mtu katoa comment inayokinzana na maono yako
Achana na hao wagonjwa mkuu,, yamekaa kukariri kuishi mjini utafikri yenyewe yamezaliwa mjini!! Nyakahura mbona pazuri kwa kupiga shule?Ninatazama acsee results zao zinaridhisha.... Ttzo hasa hapo ni lipi!?