Mpeleke saint ana ipo kwa msuguri mbezi,ama kama hutojal yeye kuamka alfajiri kuna shule nzuri iko tabata,Habarini wanaJF ,natafuta shule nzur kwa ajili ya mwanangu wa miaka mitatu nipo maeneo ya kona kimara .
Mpeleke filbert bayi tena nikaribu zaidiHabarini wanaJF ,natafuta shule nzur kwa ajili ya mwanangu wa miaka mitatu nipo maeneo ya kona kimara .
Ada upoje pale?Mpeleke filbert bayi tena nikaribu zaidi
Nimepamiss kona mtaa wa Ngosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule gani tabata?Mpeleke saint ana ipo kwa msuguri mbezi,ama kama hutojal yeye kuamka alfajiri kuna shule nzuri iko tabata,
Sent using Jamii Forums mobile app