Nimesoma comments hadi nacheka. Ngoja nami nitupie japo vineno vichache:-
1. Kama kweli una nia ya kununua, ni vyema kwenda ukajiridhisha physically uhalali na umiliki wa kiwanja. Utaangalia documents za huyo muuzaji na uende kuzifanyia uhakiki pale Serikali ya Mtaa pamoja na Jiji.
2. Angalia kama kuna ramani pamoja na documents zingine zinazoruhusu ujenzi. Kama hazipo, unaweza kutumia wataalam wakakufanyia tathmini ya uimara wa jengo hilo.
3. Kwa mwenye nia ya dhati afanye hayo, maana huwezi kutupa 30m blindly kama huzipendi. Pia hata hiyo bei inaongeleka