Watoto mara nyingi wanasema the wrong things at the wrong time and Nunda is the worst ,tuvumiliane ,okay ? Isije ikaonekana Mwiba ,unajua binadamu kila mmoja na mtazamo wake na ufahamu wake ,ikiwa kuna ninaowakwaza kwa jokes za Nunda naomba wanisamehe sana ,sio kusudio langu kumkera mtu kwa asilolipenda.