wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 252
ILE REMIX YA NGOLOLO ILIYOFANYIKA NIGERIA ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU HII HAPA ISIKIE WA KWANZA....
Kwanza mapenzi SAFARI, ujana ni CASTLE ya moto, nilikunywaga zamani! Mmmh!
Pili 2metoka mbali,
toka kipindi cha MNAZI!
VILITA mbil fulanii....
Oooh tatuu, GONGO ya kwako kwangu MARADHIII!
Kila umwagikapo kwangu SIMANZIII...
Kwa stimu ulizonipaa....
Nimenogewa, kuyumba KUPEPESUKA,
ooh...! Punguza kidogo...
KUANGUKA kadhalika GONGO c unanielewa....
LITA tano nlizokunywa, ukiongeza kidogo mi mwenzako NTAZIMA..