Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Acheni kumtetea mngekaa Venezuela mkajua alivyo mnyonyaji watu wanakosa hata panadol hospitalini na wagonjwa kulaliana kama bongo wakati nchi tajiri. Kifupi amerudisha nchi nyuma sana tuuuu, na maspeech ya masaa kulaumu Marekani kila siku!!!By the way RIP.
Kwani wewe uko Venezuela.....mmmmh?
Acheni kumtetea mngekaa Venezuela mkajua alivyo mnyonyaji watu wanakosa hata panadol hospitalini na wagonjwa kulaliana kama bongo wakati nchi tajiri. Kifupi amerudisha nchi nyuma sana tuuuu, na maspeech ya masaa kulaumu Marekani kila siku!!!By the way RIP.
1.I am convinced that the path to a new, better and possible world is not capitalism, the path is socialism.
2.I hereby accuse the North American empire of being the biggest menace to our planet.
3. We must confront the privileged elite who have destroyed a large part of the world.
4.There is no turning back.
5.Convinced as I am and as I am from my government that the world needs a new moral architecture over all I believe that this should be the first topic to debate in our world of today, ethics, moral.
Acheni kumtetea mngekaa Venezuela mkajua alivyo mnyonyaji watu wanakosa hata panadol hospitalini na wagonjwa kulaliana kama bongo wakati nchi tajiri. Kifupi amerudisha nchi nyuma sana tuuuu, na maspeech ya masaa kulaumu Marekani kila siku!!!By the way RIP.
We ----- kweli inamana hujui kua chanzo cha kutoweka kwa amani ktk nchi nyingi za asia na africa ni marekani na dhulma zao?au we ni mmarekani?congo,angola,libya na mataifa mengi yananyonywa na amerika?kweli nimeamini kuna watu wana micro cheap kichwani kiasi kufikiri vile marekani anavyotaka.
Ndiyo Mkuu"There is no turning back" ni quote ya Hugo Chavez?
Imo hata kwenye Biblia