Nukuu ya mwalim nyerere

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
597
1,000
Katika kitabu cha Mwalim Nyerere kinachoitwa -FREEDOM NA LIBERATION- ukurasa ya 104 - Mwalim Nyerere anasema, nanukuu:

Ukombozi ni mchakato wa kihistoria. Si hatua moja ambayo inaweza kukamilika na kua kuadhimishwa kila mwaka kwa sherehe za kila mwaka. KWA AFRIKA, ukombozi wa kweli una hatua nne.

1) Kwanza ni uhuru kutoka ukoloni na ubaguzi wa kutoheshimu haki za wachache.

2) Pili, ni uhuru kutoka watawala wa nje ya kiuchumi.

3) Tatu, ni Uhuru dhidi ya umaskini, dhuluma na ukandamizaji, zilizowekwa juu ya Waafrika na Waafrika.

4) Nne, ni uhuru wa akili. Mwisho wa kunukuuu-

Sisi, Tanganyika na Zanzibar, bado hatujakamilisha mchakato wa ukombozi wetu. Kwa sasa tunaendelea kujikomboa wenyewe na umaskini, dhuluma na ukandamizaji, zilizowekwa juu ya Wazanzibari na Wazanzibari wenzetu (Tanaka la watawala/Chama tawala).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom