Alloyce PR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 803 Reaction score 867 May 24, 2025 #1 "Usimchague kiongozi anayeanza kuonyesha upendo kwa wananchi uchaguzi unapokaribia, wala yule anayewasaliti wenzake kwa kuwazulia mabaya, maana uaminifu na ukweli havijengwi kwa hila wala muda wa kampeni." Alloyce, P.R.
"Usimchague kiongozi anayeanza kuonyesha upendo kwa wananchi uchaguzi unapokaribia, wala yule anayewasaliti wenzake kwa kuwazulia mabaya, maana uaminifu na ukweli havijengwi kwa hila wala muda wa kampeni." Alloyce, P.R.