Nukia classic na perfume za kijanja

Aquatic

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
716
Reaction score
270
Umaridadi uficha mengi, nukia kijanja na perfume classic kwa bei ya kutupa, kwa perfume za jumla na rejareja kwa perfume zifuatazo nione DM au piga 0628964939






Perfume kutoka UK muonekano wa picha na bidhaa utakayo uziwa ndio huo huo km unavyoonekana hakuna longo longo.
 
BLEU DE CHANEL inapunguzo kubwa sana 35k kwasasa then itarudi ktk bei yake....nikipata muda ili kufupisha maswali ntaweka bei zake za kila perfume
 
Weka bei mkuu...sio fekero kweli?
Tatizo Watz tumezoa ukiona kitu kinauzwa bei kubwa ndio chenyewe kumbe mnapigwa....chukua hii kitu kisha tumia ili ujionee mwenyewe
 
Mkuu mimi sio mtambuzi wa perfume nzuri, kama unanichagulia wewe ipi inanifaa hapo na bei!
 
Mie Blue For Men yangu tu 28,000/=harufu zaidi ya 72hrs...ila naomba kusaidiwa jinsi ya kubadilisha perfume,nimeshindwa kabisa kutumia product tofauti na niliyoizoea yaani nikitumia tofauti huwa najistukia stukia sana.huwa natamani niwe na angalao machaguo mawili ila nashindwa!
 
Jaribu upupu utakufaa
 
Hiyo kitu ml 50 usd 230 duty free shop
 

Attachments

  • 375x500.1825.jpg
    8.3 KB · Views: 85
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…