Im worried about thing that tanzania plan to build nuclear plant eti kama part ya kusolve power shortage. Hii inaingia akilini kweli? do we have an area for waste disposal? hivi watu wanakumbuka issue ya chernobyl?? its almost 20 years has`passed since that incident a mpaka sasa haijapatikana solution on waste disposal. hiyo ni kwa wenzetu walioendelea. sasa inakuwaje kwa nchi kama yetu?
Huyo Hembeeza anakuwa na megaphone mentality. Tunaambiwa kuwa kuna technology zinazostahili kwa akina siye na kuna zile ambazo wanasitahili wakubwa peke yao. Na akina Hembeeza wanakuwa vipaaza sauti vyaa hila hizo. Tusipoanza sasa unategemea tuanze lini? Tutapeleka watu shule wajifunze namna ya ku-handle nuclear technology. Kama Iran na Korea ya Kaskazini wanaweza kwa nini sisi tusiweze? Chernobyl ilikuwa ajali. Kuna lessons watu walijifunza kutokana na hilo. Hata marekani ilishatokea sehemu inaitwa Three Mile Island kwenye miaka ya 1970 ingawa haikuwa kubwa kama Chernobyil. Hilo halikuwafanya Warusi au Wamarekani waachane na nuclear technology.Acha uoga wewe? Maendeleo hayaji kwa watu waoga, we must be agresive. Kuhusu waste disposal I am sure lazima watakua wameshajiandaa, na dunia saizi ina teknolojia nyingi tu ya ku handle wastes from any kind of mining wastes. Labda ujenge hoja serikali imejiandaaje kusimamia sheria za mazingira. Nuclear Power plant south africa wanayo and there is no problem. Acha uoga.
Huyo Hembeeza anakuwa na megaphone mentality. Tunaambiwa kuwa kuna technology zinazostahili kwa akina siye na kuna zile ambazo wanasitahili wakubwa peke yao. Na akina Hembeeza wanakuwa vipaaza sauti vyaa hila hizo. Tusipoanza sasa unategemea tuanze lini? Tutapeleka watu shule wajifunze namna ya ku-handle nuclear technology. Kama Iran na Korea ya Kaskazini wanaweza kwa nini sisi tusiweze? Chernobyl ilikuwa ajali. Kuna lessons watu walijifunza kutokana na hilo. Hata marekani ilishatokea sehemu inaitwa Three Mile Island kwenye miaka ya 1970 ingawa haikuwa kubwa kama Chernobyil. Hilo halikuwafanya Warusi au Wamarekani waachane na nuclear technology.
Im worried about thing that tanzania plan to build nuclear plant eti kama part ya kusolve power shortage. Hii inaingia akilini kweli? do we have an area for waste disposal? hivi watu wanakumbuka issue ya chernobyl?? its almost 20 years has`passed since that incident a mpaka sasa haijapatikana solution on waste disposal. hiyo ni kwa wenzetu walioendelea. sasa inakuwaje kwa nchi kama yetu?
Wewe Dick, swala a kuwa senior na junior ndo umeona jibu tu ama? We nawe huna hoja mbona wengine wameelewa, u nid takwimu will provide dem for ya! Tz u have a long way to go mpaka muweze kuinvent hiyo kitu.Jamani huyu ni junior member haswaaaa. Habari anazoongea hazina uchambuzi, uhalisia wala takwimu!