Nuclear bomb

Urusi hawezi kuingilia, ila kwake hii vita inaweza kuwa fursa
 
URUSI ni nchi kubwa sana na imeanzia ulaya na kuishia ASIA.katika lugha nyingine naweza sema kuwa ni nchi moja ambayo ndani yake kuna mabara mawili,bala ya ULAYA na ASIA.
Mji wa URUSI ambao huigawa nchi iyo katika mabara hayo mawili ni YEKATERINBURG.
Miongoni mwa miji ya urusi iliyopo bara la ASIA ni VLADIVASTOK,TOMSK,SAHARINSKI YA KUSINI,,KHABAROVSK,YAKUTSK NK, ambayo kwa pamoja huitwa MASHARIKI YA MBALI YA URUSI( far eastern)

Sasa mji wa VLADIVASTOK ndo miongoni mwa miji ambayo ipo mipakani na umepakana na nchi nyingi tu.
Mji huu umepakana JAPAN ( kwa upande wa bahari),CHINA NA KOREA( kwa upande wa ardhi).





Hivyo basi kwa kuwa mji huu kwa upande wa ardhi umepakana na CHINA na KOREA KASKAZINI,ni wazi kuwa URUSI lazima aweke vifaa vyake vya kisasa katika mpaka huo ili kwamba ikitokea kuna vita kati ya nchi flani na KOREA KASKAZINI basi waweza kujihami na makombora ambayo yatalengwa kwenda upande wa URUSI kwani km 17 kutoka kwenye mpaka wa URUSI na KOREA KASKAZINI kuna makazi ya WARUSI wapatao 700 na kutoka kwenye mpaka mbaka mji wa VLADIVASTOK sio mbali sana.
Kumbuka ya kuwa VLADIVASTOK ni mji wa kijeshi wa urusi na kuna kambia kubwa sana ya
Majeshi ya URUSI, kwa vikosi vya Maji,pia mji huu ni muhimu sana kwa urusi kwani ndo anaotumia katika maswala ya kiulinzi dhidi ya JAPAN,CHINA NA KOREA.

VLADIVASTOK pia ni mji wa siri kwani ulikuwepo URUSI tangu zamani ila haukuwapo kwenye ramani ya nchi hiyo.kwa mara ya kwanza mji huu umeanza kuwekwa kwenye ramani mwaka 1991,so bado ni mji muhimu sana kwa URUSI.

Hivyo basi swala la MRUSI kuweka MITAMBO yake ya kukinga anga dhidi ya shambulio lolote( AIR DEFENCE MISSILE SYSTEM) halimaanishi kuwa yupo upande wa KOREA KASKAZINI bali ni kujilinda tu.
Nawasilisha.
 
Urusi hachokozwi na anacho mtafutaga US atakuja kukipata sababu kila sehem anamfuatafuata sana US nia yake aone nguvu ya US na hilo US anajua bila shaka hajasahau kusambalatishwa kwa USSR ...Urus aache chokochoko

Upo kinyume kaka, Wamarekani na NATO. Walijaribu kwa nguvu kubwa sana kuiangusha Urusi na walifanikiwa kwa kuibunja USSR Na pia nchi kama Yugoslavia, Checoslovakia, Na East German
Anachotaka sasa Mmarekani ni kumuangusha Russia tena kwa kuiua kwenye nguvu zake zote za kiuchumi na pia kuizunguka russia kila kona, kulikiwa na issue ya Ukrain, Crimea, Georgia uko kote Marekani/NATO Wanataka kuweka base zao ili wamzunguke Russia, Vita ya Sryia pia ni kuizoofisha Russia kiuchumi, mgogoro wa Trkey nao pia

Amerika wanataka kuipiga NK ili waweke base zao kwenye mpaka wa Russia na hapo Russia itakuwa imezungukwa pamde zote ndipo wapange strategy za kuipiga russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…