Nuclear bomb

Nuclear bomb

Urusi hachokozwi na anacho mtafutaga US atakuja kukipata sababu kila sehem anamfuatafuata sana US nia yake aone nguvu ya US na hilo US anajua bila shaka hajasahau kusambalatishwa kwa USSR ...Urus aache chokochoko
 
debda84d8df77331bc6b9962050d010466b7e1f5.jpeg
 
Mapank atashikwa kilaini sana kama Urus angekuwa na Msaada Sadam na Libya walinyongwa mchana kweupe ....Mrus kama ananguvu US asingetia pua Korea, Syria kapigwa kalaani tu na Korea nako yuko.. Bila shaka Mrusi hataki vita ila mwenye akili atajua Mrusi anafanya biashara ya slaha Ili kama Mapank akishindwa amuuzie Nukes. Us kamsoma sana
 
Urusi hachokozwi na anacho mtafutaga US atakuja kukipata sababu kila sehem anamfuatafuata sana US nia yake aone nguvu ya US na hilo US anajua bila shaka hajasahau kusambalatishwa kwa USSR ...Urus aache chokochoko
Natamani kweli ili US aonyeshe nguvu yake ili wanaobisha waache,US ni habari nyingine jama
 
Mapank atashikwa kilaini sana kama Urus angekuwa na Msaada Sadam na Libya walinyongwa mchana kweupe ....Mrus kama ananguvu US asingetia pua Korea, Syria kapigwa kalaani tu na Korea nako yuko.. Bila shaka Mrusi hataki vita ila mwenye akili atajua Mrusi anafanya biashara ya slaha Ili kama Mapank akishindwa amuuzie Nukes. Us kamsoma sana
Mapank ni kichaa tuu kama hili la hapa.
 
Usitegemee mrusi kutungua hata drone ya Marekani.Kasogeza majeshi kulinda mipaka yake na nchi yake kiujumla huwez jua labda kombora linaweza kukosea njia likaenda Moscow.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Usitegemee mrusi kutungua hata drone ya Marekani.Kasogeza majeshi kulinda mipaka yake na nchi yake kiujumla huwez jua labda kombora linaweza kukosea njia likaenda Moscow.
Likipita sehemu ya kwake atalitungua tu
 
[HASHTAG]#UpdatesKimataifa[/HASHTAG]

Urusi tayari imesogea kwenye Mpaka wake na Korea kaskazini na kufunga silaha Nzito za kutungua Ndege Pamoja na kudaka Makombora Ya Marekani Dhidi ya Korea kaskazini.

Urusi imekiri kuwepo kwa uchokozi wa Marekani katika Rasi ya Korea.
Mpaka hapo hakuna vita ni tension tu tunarudi enzi za media and laboratory war(cold war)
 
Marekani ni mchokozi inabidi apelekewe kombora huko Marekani wananchi wake waone hasara ya vita. Ndo atakoma
 
Back
Top Bottom