Ntoeni wasi wasi huu tafahali

Ntoeni wasi wasi huu tafahali

Desmond somi

Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
15
Reaction score
6
Nina pc ya dell inspirion. Sasa imenizengua nikiwasha inanionesha mistari mingiii mno kwenye display na pia inaniandkia ( windows error) cha kuniogopesha zaidii ni kuwa ina kama ki ufa ambacho kina ink linkage. Maswali yangu ni je
1). Tatizo ni wndow au screen
2). Kama ni wndow mnanishauri wndow gan ntumie
3). Kama ni dsplay nambien duka lenye cheap dsplay nkatengeneze and approximated cost pliiz.
Nsije nkafia mjini kwa preshaa mwana jamii forum mwenzenu. Msaada wenu tafadhali sana
 
Back
Top Bottom