Hey najua wengi mpo bize na siasa za Mbowe...!! Nisaidieni hapa:
Nina dual boot(XP na MINT-JULIA) sasa hard disk moja nikilog kwenye windows haionekani,wakati nyingine zote zinaonekana na zote ni NTFS(ila moja ni FAT nayo inaonekana)..kwenye Linux zote zinaonekana!!
Nifanyaje hapa ili hii ionekane kwenye Window??