Vipi kwani? Au kwasababu umekosea kwenye speling umeweka double s. Yatauzika tu, we peleka kwenye mnada wowote wenye wamasai especial monduli uone kama hujarudi kuandaa nyingine kama hizo.
Mkuu umeona enh?! Kuna watu nilikuwa nawangojea tu hapa jamvini, 'Ooh!Lowassa chaguo la Mungu' Ooh! Yesu alisemwa na kutukanwa pia! Ooh! Kaombewa na Ma-sheikh, maaskofu, wachungaji! Eti ooh!Atakuwa rais ndani au nje ya CCM.