Waone TCRA
Ina maana aende direct kwenye ofisi zao?
Mkuu inaonekana haipo online kabisaingia google search neno DEVICE MANAGER click link ya kwanza ilioandikwa android device manager halafu login na acount ya mke wako ya s5 then uone kama utaweza kuitrack hio simu.
Kijana wa kazi za kulisha mifugo kaniibia simu ya wife s5, pesa taslim na mavitu kibao na kakimbilia chanika masikia kuna mtu kamchikua
Simu ya wife hatujui imei no ila simu ya huyu kijana ipo on, hapokei wala kujibu sms, ma ukitumia no haijui anasikilizia sauti au anampa mtu mwingine anapoke
Huyo jamaa kama ostadhi au mlokole hayo mambo ya kumtumia migoma (mademu) itakua issue alafu huyo jamaa anataka namba ya mkeo du!tumhare big problem, kwan hiyo s5 yenyewe au fake. Kama yenyewe basi we mtumie mpunga wa nguvu kwa kutumia tigo,voda,airtel money mara nyingi nyingi hadi apagawe hapo utaanza kumpagawisha mpaka namba yako ya simu ataanza kuithamini na kuipenda na kuiheshimu hapo sasa utaanza kuwa intelligence na kuplan mitego.Ila ukimnyaka kwanza unaanza na vitasa kisha police kisha utaanza kusema kaniibia kabati,friji sita,gari,bodaboda n.k hadi hela irudi.
Kama mtu unamjua kabisa nini kimekuzuia kwenda polisi au kuna siri hutaki ifichuke? Coz polisi wanaweza mtafuta na wakadeal naye vizuri tu, kazi kama hizi kwa nini mjichukulie mikononi, ungekua humjui ni nani ningekwambia njia za kumtafuta mwenyewe, ila unamfahamu vizuri, peleka polisi hiyo namba wamuwekee mtego.