Hilo jezi halina tija mtaani. Hivi karibuni halitavalika kabisa, Mfano mdogo unadhani wale madiwa 5 wa mitambo maalum ya Bashiru na polepole waliofika bei watavaa vazi hilo mtaani kigoma?
Lingekuwa na tija mtaani wangelivaa mitaa ya ujiji kwanza ,kinyume chake wamevalia mitaa ya Lumumba.