NTAFUTA NOTES ZA GENERAL CHEMISTRY ZA NGAIZA

Loockman

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
73
Reaction score
17
Mwenye notes au soft copy au anaye pajua sehemu zinzo uzwa kitabu cha general chemistry cha ngaiza kwa morogoro maana nimeenda kwenye page yao ya facebook nimewatumia message hawanijibu. Naombeni mnisaidie kati ya hivyo kama utakuwa unakitabu chake au soft copy yake au kama unakujua wapi naweza kupata kwa morogoro ( ukiweka na bei itakuwa poa zaidi). Au mkinisaidia namba zao Asante sana na samahani kwa kiswahili kibovu
 
Agiza mtu aliopo dsm akununulie pale mchikichini akitumie mbona simple



Hata mie unaweza niagiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifika stand ya daladala ya mjini,Barabara inayoeolekea hospitali kubwa au jamuhuri au library ya mkoa,hatua chache tuu kabla hujavuka daraja,kuna duka la vitabu upande wa kushoto,Kama hujaelewa au unataka kufundishwa topics za advanced chemistry na physics nicheki 0755340150

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…