Kyabashasa
Member
- Nov 29, 2020
- 10
- 4
Sidhani! Make ukiangalia kitabu chao cha TCU wamespesfy kabisa kwamba a minimum GPA of 3.0( NTA level 6) sasa ingekuwa average wacngefanya specification ya kuweka NTA level 6 kwa blacketsNijuavyo kwa udahili wa TCU wanaangalia average GPA ya mwaka wa diploma kwa sababu hizo ni level tofauti.
Umeeleweka sana mkuu asante sasa swali linabaki kwenda degrees wanaangalia wapi wanaconsider level IPI?CLASS AWARD CUMULATIVE GPA
Level 4
FIRST CLASS 3.5 to 4.0
SECOND CLASS 3.0 to 3.4
PASS 2.0 to 2.9
Leve 5
FIRST CLASS 3.5 to 4.0
SECOND CLASS 3.0 to 3.4
PASS 2.0 to 2.9
Level 6
FIRST CLASS 4.4 to 5.0
UPPER SECOND CLASS 3.5 to 4.3
LOWER SECOND CLASS 2.7 to 3.4
PASS 1.0 to 2.6
Level 6Umeeleweka sana mkuu asante sasa swali linabaki kwenda degrees wanaangalia wapi wanaconsider level IPI?
Hapo sawaLevel 6
Pamoja sanaHapo sawa
Uko sawa mkuu.Sidhani! Make ukiangalia kitabu chao cha TCU wamespesfy kabisa kwamba a minimum GPA of 3.0( NTA level 6) sasa ingekuwa average wacngefanya specification ya kuweka NTA level 6 kwa blackets