Nsubisi Mwakipunda hatunaye tena

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,198
Reaction score
9,014
Nimepata habari kuwa ndugu Nsubisi Mwakipunda ameaga duni,mwendazake huyu alikuwa kati ya waandishi wa habari waandamizi hapa nchini,amewahi pia kuwa mwandishi wa Waziri Mkuu miaka ya nyuma,mazishi yatafanyika kijijini kwake wilayani Kyela mkoa wa Mbeya.Mungu amulaze mahala pema,poleni wafiwa .
 
Mzee mwakipunda soul rest in peace .Jane mwakipunda long time pole and joyce if I remember.Last time I saw Mr mwakipunda was 1995 Washington .
 
RIP Mzee Nsubusi Mwakipunda, kabla ya kustaafu alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maelezo. Poleni sana Jane, Abraham, ndugu na jamaa wote mlioguswa na msiba huu.
 
Kyala ghwa maka, ndagha utalile Nsubisi Mwakipunda,atukwaghanila nkajha kala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…