kaka kwa hizo nafaci sahau kabisa fanya kama hujaapply ,zinachukua mda mrefu sana ,ni zaidi ya miezi mitano ndo wanaweza kuita labda utaratibu wao ubadilike saivi lakini sidhani kwani ndo kama formula yao na wakishaita written interview,unasubiri tena miezi miwili ndo wanaita oral ambayo ndo final ,hata hivyo apllication zimekusanywa kwa viroba .