yyaani NSSF hapa MBEYA ikifika kwenye kuchukua chako wanasumbua sana mm nimeanza kufuatilia toka mwezi wa tatu mwaka huu, mpaka leo tarehe 10/07/2015 sijapata pesa yangu.
week iliyopita niliamua kuandika barua ili nilipwe hela iliyopo cha ajabu walishindwa kunipa hata karatasi, kama haitoshi mpaka leo napigwa chenga ya mwili.
Nikifanikiwa kuchukua hii pesa itakuwa ndio mwisho wa kujihusisha na shirika hili la hifadhi ya jamii. kifupi NIMEKOMA