NSSF si shamba la bibi tena

Mkuu Baraka selemani

Hapa chini nimeguswa na hii quote


4. Kwenye TEHAMA, PPF ilikuwa ikifanya shughuli zake kwa kutumia mifumo ya kielektroniki tangu mwaka 2008 wakati NSSF ilikuwa ikiendesha mifumo yake manually kwa 80%. Kabla ya bwana Erio kuletwa, Shirika letu la NSSF lilishatumia shilingi bilioni 12 kuweka mifumo ya kielektroniki bila mafanikio. Aibu gani hii

Kuna marehemu mmoja alikuwa mshika dini Sana Kama director of IT nilidhani alipigania Mambo ya kawa sawa Marehemu Said. Hebu nipe mwanga kidogo juu ya hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…