NSSF si shamba la bibi tena

Ufafanuzi kwenye Namba 13 kuhusu makusanyo daraja la Nyerere, Kigamboni.....

Haiwezekani mkusanye 680bilioni kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huoni connection ya BWM kwa CV ya Erio nao ni ulemavu wa akili.

NSSF ya kabla yake ni better performer kuliko hii ya Erio. Waliotangulia walikuwa wanalipa mafao by 23 ya mwezi husika. Hawa wanapitiliza hadi tarehe 1 ya mwezi unaofuata
 
Du! Povu jingiiiii eti haufanyi deal lolote. Erio wewe kabisaa weweeeeeeee! Acha masihara aseee - wewe kwa kuwa upo tu smart katika kupiga deal ndiyo unajifanya hufanyi deal. Watu wanakuchekiii tuuuuu. Una roho mbaya wewe na udini unao pia - wale mameneja Waislamu wote uliwatoa NSSF na kuwapeleka kule swekeni mpaka Waziri Mkuchika mwenyewe akaingilia angalau wakapelekwa ofisi zenye ahueni. Au unataka tuwataje na maswaibu ya kunyanyasika waliyoyapata? Tena wamefungua hadi kesi dhidi ya NSSF na wengine unataka eti walipe fedha za mikopo ya shirika waliyokopa wakiwa hapo wkt hata fedha zao za Mfuko wa hiari hujawalipa. Acha hizo uishi kwa amani - visa vya nini?
 
Ivi ajira zao ukitaka uzipate unatakiwa ufanyaje ?
 
Wewe ndo mjinga maana watu wanaeleza hisia zao kuhusu Erio na mapungufu yake, wewe unaeona ni umbeya basi labda mnakutana magoti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na watu watakuja sana kuponda ila all in all nssf ilifikia pabaya...uwekezaji mwingi ulikua wa kupiga na udini ulitamalaki....hoja hubishwa na hoja...kama mnapingana naye leteni hoja hapa sio porojo ..wacha magu atunyoshe tu
 
suala la korido kugeuzwa misikiti wala sishangai. inaweza kuwa kweli. ukienda ofisi za The Joint Finance Commission utayakuta sana mambo haya ya kuswali ofisini. ndugu zangu waislam badilikeni.
Kuswali ofsini na 'korido' kuwa sehemu ya kuswalia ni vitu viwili tofauti.

Waislamu wanaposwali wanahitataji utulivu wa hali ya juu kiasi kwammba mtu haruhusiwi kukatiza mbele ya anayeswali, hivyo kwa mantinki hiyo koridoni hakuna huo utulivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyo Erio, CEO wa NSSF hana kazi hadi aje ajiandikie huu 'utetezi'? Ana nini cha ku prove kwenu?! Kashakubalika na aliemuweka aje ajitetee hapa ili iweje?!
 
MBONA WATANZANIA TUNAODAI MAKATI HASA HAPA MTWARA HATLIPWI LICHA YA KUWA TULIACHISHWA KAZI MWEZI WA NANE 2019..LAKINI HATI SASA HATPAT CHOCHOTE LICHA YA MUAJILI KULIPA MICHANGO KWA WAKATI?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…