Liwalo na Liwe
Member
- Jul 6, 2012
- 40
- 26
Habari zenu kwa ujumla?
Reference ya pendekezo langu inatokea ofisi ya NSSF Temeke. Hili linahusu kupatikana huduma zenu kuanzia saa saba mchana (13hrs) mpaka saa nane (14hrs).
Mara nyingi baadhi yetu tunaleta michango yetu muda huu na tunalazimika kuwasubiri kwa saa nzima mpaka muda huu upite ndipo mtuhudumie. Kwa hali ilivyo sasa kupoteza saa nzima tena mchana ni gharama sana, nawashauri kwa nia njema muweze kuboresha hii hali, tumieni njia zinazotumiwa na ofisi mbali mbali kutoa huduma muda wote, kuwasubiri saa nzima tunapoteza resources kubwa sana.
Huu ni ushauri wangu kwenu