Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,271
nakutana na watu wana zaidi ya miezi 8 sasa tangu wameomba kujitoa aidha kwa sababuza kufukuzwa au kujiachisha ajira. Hawa jamaa walikuwa wanatia huruma.
Kwa kuwa nilikuwa na jamaa yangu ambaye ni dereva nilifanyanaye kazi mwaka 2007 nikiwa CARE International , huyu jamaa kaniambia eti bilakutoa chochote utazungushwa hadi mafaoyako yote zitaishia kwenye nauli.
Nilipocheki salio nambiwa mwajiri wako hajaingiza mafao yakotangu mwaka 2006 wakati documents zote za mwajiri wangu zinaonesha, mfanyakazimwingine alibuka usingizini kadakia etiinawezekana ni system zetu we omba tumafao yako yatainingizwa.
Jamani nisaidieni ikiwezekana nisindikizwe naPCCB maana sitaki kutoa hata ct, jasholangu. Traffiki anidai rushwa na nssfstaff wanidai rushwapia??????