NSSF Moshi ni jipu

NSSF Moshi ni jipu

Imekuwaje mkuu, umestaafu au umeeacha kazi? Umeshapata pesa zake au bado?
 
Hao jamaa ndo zao, kuongelea wizi moshi ni sawa na kuzungumzia makofi kituo cha polisi
 
Kuna vidada viwili pale reception na mama mmoja .... ni majipu tu, hawana kauli wala hawajui kuelekeza kitu.

Nadhani muda umefika nao watumbuliwe either kwa kuangalia qualification zao au kwa kauli zao..
 
Back
Top Bottom