Leo watu wameachishwa kazi kutokana na mazingira magumu ya wao kuendelea kuajiri, watu wanahitaji pesa zao ili waweze kufanya ustaarabu mwingine lakini mpo kimya na hela zao. Wapeni pesa zao jamani wakafungue hata vibanda vya mihogo.

Wakimaliza kujenga viwanda..
tuliambiwa serikali imemwaga mabilioni huko iliyokuwa inadaiwa..
unafiki hauendi mbali
*watumishi kilio
*elimu ya juu kilio
*wastaafu kilio
*akina moo(wafanyabiashara) kilio
*wakulima tulioambiwa wameondolewa ushuru kwamba sasa mambo safi nao kilio..
Duh! Nipo najamaa zangu kampuni yetu iliisha fungwa sasa tukapanga tuchukue pesa tukafanye kilimo. Tumekanyaga nssf hadi sori zimeisha tunaambiwa bado file halijafunguliwa