Wana JF mambo ya nssf waacchieni wenye nchi utaumia moyo imekuwa kama michango yetu dili maana most of the source of income hawa jamaa washirika ya hifadhi ya jamii wanategemea contributions from employees but inapofika kuajiri wanasahau kabisa kwamba hizo pesa ni michango yetu. Sasa nimekuwa nikifuatilia maoni ya wana JF muda mrefu kuhusu mifuko hii kwa kawaida mie nina ndugu yangu mtu mkubwa tu ktk moja ya mifuko aliponieleza habari ya namna wanavoajiri ndugu zangu utaumwa bure nchi imeisha hii. Sitegemei kama kuna mtu ambaye hana mtu mkubwa wa kuwekea kimemo atapata kazi ila kitachotokea watu wote watawaita ila kuna watu wao tayari[special list] mambo kama haya yalitokea NAO watu walikuwa wana toa laki nne hivi ili jina lipitishwe moja kwa moja kwenye oral interview
Acheni propaganda huyo jamaa anaonesha kamezwa sana na udini ndo mana anakuambia hivyo ,unataka kuniambia waliochaguliwa wote walikuwa waislamu? mbona mnaliandama sana shirika la nssf kwa sababu mkurugenzi wake ni muislamu? mbona sekta nyengine kama TRA na nyenginezo kuna wakristo wngi wamejazana na watu hawasemi ,ukweli ni kwamba nssf si kama ina udini ni kwa sababu namba ya waislamu na wakristo inakaribiana ndo mana watu mnapiga kelele ila ilitakiwa mashirika mengine yote yabalance kama ilivyo nssf ,hatupo kupractice udini inabidi pande zote ziwe na haki zinazokaribiana kwani waislamu nao wana haki ya kuajiriwa kwani wapo wengi wamesoma licha ya juhudi za kuwabana za maksudi zilizoandaliwa rasmi.
any way ninachosisitiza tusipeane propaganda tuelezane ukweli halisi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Wape na wivu wao eti kwa vile linafanya poaf***ck off wote mnaoneza udini JF. TRA umewahi kuomba,ppf,pspf umewahi kuomba,au kwasababu CEo wao sio waislam. why kila siku ni NSSF? mna nini nyie? shirika linaperfom vzuri lkn mnaliandama... WHY? wapi wanaajiri kwa kufuata sheria?