Jambo LA kushangaza sana hawa NSSF hawajali wateja wao, Mfano kipindi najiunga NSSF nilikuwa Mkoa wa Mbeya nimeacha kazi nikarudi nyumbani kwetu Mwanza, nimeenda kufuatilia mafao yangu naambiwa hadi nirudi nilikofungulia Taarifa zangu, inamaana hawawezi kufanya mawasiliano ya moja kwa moja ili wapate taarifa zangu au ni usumbufu tu wa kukatishana tamaa ili uache hiyo pesa?