mkuu kuipata nenda uchagani zipo,nenda pale moshi mjini karibu na kanisa la kkkt na stend kuna mzee anapak pale ya rangi ya blue anaitwa mallya au change
Nenda south africa mji wa knsyna au port elizabeth zipo nyingi model kama hapo juu ila bei juu wanazimind sana.hapo hadi datsun 120y au j zipo salon kali kweli wanazitumia ktk mashindano ya magar