Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,242
- 1,793
Assalaam alleykum!
Wakuu hali inaelekea kubaya katika equity market ya u.s. DOWJONES, S&P 500 na hata cryptocurrencies kama DOGE n.k graph inainama. Sijui hali itakuwaje miaka kadhaa ijayo lakini kunauwezekana the stock market will crush.
Kuna experts wanasema huenda mwakan soko litapanda thamani kutokana na maandalizi ya kombe la dunia, lakin mi nauhakika huenda hata hilo kombe la dunia lisifanyike u.s kwa kuwa kuna staff shortages, budget cutdowns and trade wars kitu kinachoweza kukwamisha uwezekano wa u.s kuhost FIFA 26.