Hahaa nakuunga mkono. Rais mmoja tu ndio anastahili sifa na pongezi na nafasi kwenye noti, Emilio Mwai Kibaki.Kati ya marais wote ambao walifaa kuwa kwenye noti hizi Emillio Mwai Kibaki alistahili, tena sana. Ila naona Mzee Jomo Kenyatta amebadilisha pozishen akaketi labda akishachoka atalala ampishe Obako. [emoji1]
TOUCH = to move especially the hand or another part of the body lightly onto and off something or someone.Njooni mfundishwe kiswahili.. tafsiri ya feel siyo gusa..
feel/hisi
touch/gusa
Mimi ni mchumi lakini hili sio eneo langu la expertise, mambo ya money and banking hio nilisoma tu kwa shule. Lakini kulingana na watu, inasemekana kuna mabilionea kama Wahindi na former civil servants ambao wameweka pesa ndani ya nyumba ili kuzuia kulipa ushuru au kuzuia maswali ya pesa ilikotoka. Hii imefanya pesa ikose kucirculate ndani ya uchumi, na kupunguza ukuaji wa uchumi. Kwa hivyo hio pesa waliyoficha watalazimika kuirudisha ndani ya uchumi ndani ya miezi minne, hio itasaidia kuboost money supply expansion and circulation in the economy. Wakati Kwa mfano unaeza gundua a former civil servant ambaye alikuwa na mshahara wa elfu arubaini kila mwezi akiwa na pesa yenye thamani ya milioni mia moja. Huyo mtu hawezi peleka hio pesa kwa bank, ataificha. Lakini kwa maoni yangu hatuwezi fahamu effect itakuwa ipi kwenye uchumi hadi baada ya miezi au miaka kadhaa. La mwisho, hili jambo litapigana na ufisadi kwa kiasi fulani. Kwa maoni yangu mimi naikubali kwa sasa na pia sijasikia wachumi mashuhuri wakiipinga kama akina Ndii au Kwame Owino.Kiaina nina wasiwasi na hili agizo, nahisi hela zitatoweka mtaani maana hizo noti walizozitia kweye magodoro ndizo huwa wanatumia tumia huku kitaa kununua nunua, naomba msaada wa wachumi watusaidie kutabanaisha hili.
Mimi ni mchumi lakini hili sio eneo langu la expertise, mambo ya money and banking hio nilisoma tu kwa shule. Lakini kulingana na watu, inasemekana kuna mabilionea kama Wahindi na former civil servants ambao wameweka pesa ndani ya nyumba ili kuzuia kulipa ushuru au kuzuia maswali ya pesa ilikotoka. Hii imefanya pesa ikose kucirculate ndani ya uchumi, na kupunguza ukuaji wa uchumi. Kwa hivyo hio pesa waliyoficha watalazimika kuirudisha ndani ya uchumi ndani ya miezi minne, hio itasaidia kuboost money supply expansion and circulation in the economy. Wakati Kwa mfano unaeza gundua a former civil servant ambaye alikuwa na mshahara wa elfu arubaini kila mwezi akiwa na pesa yenye thamani ya milioni mia moja. Huyo mtu hawezi peleka hio pesa kwa bank, ataificha. Lakini kwa maoni yangu hatuwezi fahamu effect itakuwa ipi kwenye uchumi hadi baada ya miezi au miaka kadhaa. La mwisho, hili jambo litapigana na ufisadi kwa kiasi fulani. Kwa maoni yangu mimi naikubali kwa sasa na pia sijasikia wachumi mashuhuri wakiipinga kama akina Ndii au Kwame Owino.
Katika hotuba zake aliwahi kusema kuwa atabadilisha noti kuwakomoa wanaoficha hela.Magufuli Akifanya hili Jambo atasemwa vibaya na manyu.mbu kwamba anaonea watu
Katila hotuba zake aliwahi kusema kuwa atabadilisha noti kuwakomoa wanaoficha hela.
Ndio una point hapo. Kuna watu ambao watashindwa kurejesha hio pesa ndani ya uchumi na huenda ikapotea hivyo. Wanasemanga, hakuna jambo nzuri linalokosa ubaya wake. Hio kupoteza pesa kwenye uchumi ilifanyika India hivi majuzi walipobadilisha noti zao. Lakini hilo tatizo ni temporary kwa sababu kazi ya central bank ni kuprint pesa ikiwa kuna shortage kwa hivyo India waliprint pesa na kuondoa huo uhaba. Kenya central bank pia inaweza print noti zaidi ikiwa kuna uhaba ila wasizidishe idadi za noti na kufanya thamani ya shilingi kuwa duni kama vile Iddi Amin alivyofanya. Nadhani itakuwa shortage temporary lakini kama tu India tutarekebisha huo uhaba.Asante kwa jibu lako bro, ila bado nina wasiwasi
- Kwamba hili agizo litasababisha mafisadi waweweseke, hilo halina ubishi maana lazima wawaze wapi pa kupeleka mamilioni yao.
- Hela kurudishwa kwenye benki, zitachochea mzunguko wake mtaani, hilo pia ni jambo chanya
Sasa wasiwasi wangu uko kwa wale wenye hela ambazo wamezifukia na hawawezi kuzirudisha kwenye mabenki kisa walizipata kwa njia za kifisadi, hizi hela wao wamekua wakizitumia tumia kununua nunua hapa na pale, sasa hawataweza kuzirudisha na zitabaki huko huko bila thamani.
Huoni hapa tutakua tumepoteza kiaina, mamilioni yaliyofukiwa na hayana thamani, au labda watumie muda huu kununua mali kwa njia ya pesa taslimu tena kwa mkurupuko.