Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Sidhani hata kama Korea Kusini wanataka kuungana na hao kina Kiduku, makadirio kadhaa ya wanauchumi nguli yanaweka mzigo wa gharama ya muungano huo kwa Korea Kusini kuwa sio chini ya dola za kimarekani Trillion 1.North Korea: 'Do not want war, but do not intend to avoid it either', Kim called unification with South Korea 'impossible'
Kim Jong Un News: The Parliament of North Korea has announced the closure of three institutions that were working for unification with South Korea.
North Korea News: North Korea abolished many government institutions promoting rapprochement and reunification with South Korea. Country leader Kim Jong Un warned that his country does not want to avoid war.
During a speech at the Supreme People's Assembly, North Korea's parliament, Kim said unification with South Korea was no longer possible. He called for a constitutional amendment to turn the state of South Korea into a separate, 'hostile country'. According to Aljazeera, the state-run Korean Central News Agency (KCNA) gave this information on Tuesday.
#FreePalestineHomeland #southafrica #FreeGaza #yemen #NorthKorea #iran #BREAKING_NEWS #Iraq #abhinandan #southkorea #korea #japan #KimJongUn #NorthKorea #SouthKorea #Kimjongun #NorthKoreaNewsView attachment 2873305
Taarifa Bila shaka unazipat BBC,Wananchi wake wanaishi maisha magumu na yenye mashaka mnoo.Cha ajabu,huyu emoro muda wote anajitutumua kama psychopath.Dunia ya leo unakumbatia mavurugu na kuishi kwa nongwa ili iweje?
Kwa sababu humsingizia tu kama walivyopotosha kauli ya papa?Siyo mbaya.Ungeweka the opposite ya nilichoandika kwa ushahidi ili nibadilishe imani/uelewa wangu.Taarifa Bila shaka unazipat BBC,
Marekani ameufyata mkia kwa North KoreaNorth korea ni mikwala kama Hezbollah tu
BBC hawajapotosha kauli ya Papa walikua sahihi,Kwa sababu humsingizia tu kama walivyopotosha kauli ya papa?Siyo mbaya.Ungeweka the opposite ya nilichoandika kwa ushahidi ili nibadilishe imani/uelewa wangu.
Endelea na mengineyo.BBC hawajapotosha kauli ya Papa walikua sahihi, View attachment 2873317View attachment 2873318
Mikwala!!North korea ni mikwala kama Hezbollah tu
Hata kule milima ya Afghanistan,wataleban walikuwa wanafyatua risasi hovyohovyo ili kujionesha wapo.Wakaenda wazungu na kuharibu uchumi,majengo,kuua watu maelfu,kuiba vilivyoibika na kuiacha nchi ikiwa "crippled "!Mikwala!!
Mtu anafanya artillery shelling kilomita chache karibu na eneo lako unasema mikwala?!
Hizbollah bado anatembeza jaramba nae huko Mullat na Galilee .
Kufyatua risasi hovyo kwa Taliban hakufanani na kufanya shelling karibu na mipaka ya South korea pia hakufanani na hizbollah kufyatua guided missiles na kupenya mpaka ndani ya mipaka ya Israel na kufanya uharibifu.Hata kule milima ya Afghanistan,wataleban walikuwa wanafyatua risasi hovyohovyo ili kujionesha wapo.Wakaenda wazungu na kuharibu uchumi,majengo,kuua watu maelfu,kuiba vilivyoibika na kuiacha nchi ikiwa "crippled "!
Kachemka ni dalili ya kukata tamaa hata hao South Korea hawana mapenzi na north Korea, South Korea wameekeza US na nchi za magharibi kitambo sana yao yanawaendeaNorth Korea: 'Do not want war, but do not intend to avoid it either', Kim called unification with South Korea 'impossible'
Kim Jong Un News: The Parliament of North Korea has announced the closure of three institutions that were working for unification with South Korea.
North Korea News: North Korea abolished many government institutions promoting rapprochement and reunification with South Korea. Country leader Kim Jong Un warned that his country does not want to avoid war.
During a speech at the Supreme People's Assembly, North Korea's parliament, Kim said unification with South Korea was no longer possible. He called for a constitutional amendment to turn the state of South Korea into a separate, 'hostile country'. According to Aljazeera, the state-run Korean Central News Agency (KCNA) gave this information on Tuesday.
#FreePalestineHomeland #southafrica #FreeGaza #yemen #NorthKorea #iran #BREAKING_NEWS #Iraq #abhinandan #southkorea #korea #japan #KimJongUn #NorthKorea #SouthKorea #Kimjongun
#NorthKoreaNews
View attachment 2873305
Acha kuishi kwa kukaririshwa lini ulisikia mkore anaomba omba msaada kama TzWananchi wake wanaishi maisha magumu na yenye mashaka mnoo.Cha ajabu,huyu emoro muda wote anajitutumua kama psychopath.Dunia ya leo unakumbatia mavurugu na kuishi kwa nongwa ili iweje?
Kivuyooo...acha kukariri.Ukiona neno "kuishi maisha magumu na mashaka" wewe unawaza ni kula makande tu?Haufikirii kuhusu uhuru wa nafsi iliyo na furaha bila woga?Umeelewa au uletewe "pure"?Acha kuishi kwa kukaririshwa lini ulisikia mkore anaomba omba msaada kama Tz
Mbona bado serikali yao inaweza kufinancing makombora yao licha ya vikwazo
Au unataka kuifananisha pyoyang na dar
Endelea na akili hizo hizo kwamba wanorth korea wanaishi kwa shida kumbe ww ndo unaishi kwa shida
hata hao marekani,korea kusini na japan kila siku kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kujiandaa dhidi ya north korea ni mikwara tu pia, kim jong un kila siku anafanya majaribio yakurusha makombora namengine yanaangukia katika bahari ya japan laki lakini wanaishia kukemea tu na kulaumu...TAIFA LENYE NUCLEAR WEAPONS KAMA NORTH KOREA na RAIS KICHAA KAMA JONG UN sio lakukurupukia Marekani analijua hilo ndio maana huwa hajaribu kufanya upuuzi wake wowote, !North korea ni mikwala kama Hezbollah tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji375][emoji375]Mikwala!!
Mtu anafanya artillery shelling kilomita chache karibu na eneo lako unasema mikwala?!
Hizbollah bado anatembeza jaramba nae huko Mullat na Galilee .
Mkuu Watanzania wanaishi maisha mazuri kufananisha na Nchi ipi?Wananchi wake wanaishi maisha magumu na yenye mashaka mnoo.Cha ajabu,huyu emoro muda wote anajitutumua kama psychopath.Dunia ya leo unakumbatia mavurugu na kuishi kwa nongwa ili iweje?
Ugumu wa maisha yao siyo kwenye kula ubwabwa kwa maharage.Wanaendeshwa kidikteta na hata kutoka kwa uhuru kwenda nje ya nchi yao ni dhahma.Mkuu Watanzania wanaishi maisha mazuri kufananisha na Nchi ipi?
Sio kama chadema? Mpira wa baskeli ukipasuka tu wanakimbiaNorth korea ni mikwala kama Hezbollah tu