E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Nov 30, 2014 #1 Habari wakuu, nina samsung galaxy note 3 original lakini pen yake inagoma kufanya kazi , ina detect ukiitoa lakini hakuna la ziada baada ya hapo ... msaada wenu tafadhali
Habari wakuu, nina samsung galaxy note 3 original lakini pen yake inagoma kufanya kazi , ina detect ukiitoa lakini hakuna la ziada baada ya hapo ... msaada wenu tafadhali
anjo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2009 Posts 299 Reaction score 97 Nov 30, 2014 #2 Katafute pen nyingine
E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Nov 30, 2014 Thread starter #3 Nimejaribu pen ya note3 ingne original imegoma
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,149 Reaction score 102,858 Nov 30, 2014 #4 Hongera sana tumejua kuwa na wewe unatumia Note 3 original😀