Mkuu sio wote wako na account na nasema kutokana na experience kwa sababu nimeshawasaidia wengi tu kabla kutangaza hapa, the only profit I will get is a discount to my weekly delivery if I can get 20kgs a week, my weekly delivery is about 10 kgs at the moment. By the way what's wrong if I make profit?Are you trying to help? Or it is just a business idea that can give you profits? Mbona rahisi sana mtu kununua online hususani kupitia ebay au amazon?
Fungua account kwenye market unayotaka kununulia bidhaa yako hapa hakuna gharama yoyote na ni kitendo cha dakika.mie nahitaji vifaa vya hospitali kamanda, kwa kuanzia ni Ultrasound machine (portable),na hematology analyzer, na vinazidi hizo 5Kg kwa kila moja, je waweza nisaidia?