Noise pollution: Wamiliki wa subaru, alteza na pikipiki kubwa

It has nothing to do with Japanese, most of alteza were not designed to make noise but they are being modified here in Tanzania to produce all that freaking noise.
I was not talking about Teza, sio mpenzi wazo, am talking about WRX, Impreza, forester, Legacy and its STI's engines.
 
Mkuu Sio Altezza tuu au Subaru, utakuta hata Corolla imefungwa exhaust pipes kuubwaa ya sport, au Noah tena old model. Sasa unajiuliza starlet au corolla 90 hizo kelele za exhaust au air breaker za nini...kelele mingi ila rapid cruising hakuna chochote. Ki ukweli ni kero sana
 
Acha ujinga!
Umenishitua et Nose pollution.
Nose=Noise
Hili limeandikwa juu hapo, kama huna la kucoment piga kimya!

Mods wamelala washajipa majukumu yanayowaelemea

Watupe option ya kuedit hizi tittle

OVA
 
Ndio product zao, ile ni systm inayokuja na gari kutoka kiwandani(hasa subaru). Na wewe unaona linakera coz hujawahi kuendesha yule mnyama ila trust me siku ukiendesha ukajua utamu wake utakuja kutengua huu uzi Mkuu.
Utamu kuendesha cheap a$$ car? Kuwapigia wenzako kelele ndo utamu?
Acheni ushamba. Yangekuwa magari ya maana si mngewagonga wenzenu makuaudi?
 
Imekua ni kero sasa kwa hawa vijana wanaodrive subari alteza na haya mapikipiki makubwa kama baja!

Kiukweli vijana wenzangu hapa mjini (Arusha) mmekuwa ni kero kubwa, hiyo mi vyombo yenu inatupigia kelele na inashtua sana, sijui kwa wagongwa wenye shida na mioyo yao huwa wanajiskiaje!

Mbadilike, kwani izo gari zenu zikilia kwa utaratibu hamfiki huko muendako?
Lekebisheni gari zenu, au kwa hili tu hadi J makamba na NEMC yake wapaze sauti ndio muwasikie?

Mbona majiji mengine hii kitu imepoa sana au ndio ulimbukeni wa home boys wenzangu hapa
Wewe siyo mkazi wa huku,watu wa arusha hawana lekebisheni,izo,
 
Utamu kuendesha cheap a$$ car? Kuwapigia wenzako kelele ndo utamu?
Acheni ushamba. Yangekuwa magari ya maana si mngewagonga wenzenu makuaudi?
Unafikiri kuna mtu asiependa expensive car? Sasa unaambiwa gari ndivyo lilivyotengenezwa bado unalalama eti kelele, kwanza unajua taa ya forester ile kubwa ya mbele inauzwaje? Au aircleaner yake tu? Au turbo yake, Acha dharau, usione ukadhani.
 
Yani kiukweli Arusha ni watukutu hata pale icc wapga mikeleld na mipikipiki yao na ile cjui wanaiitaje ikipgwa paa paa had unais mkojo
 
Imekua ni kero sasa kwa hawa vijana wanaodrive subari alteza na haya mapikipiki makubwa kama baja!

Kiukweli vijana wenzangu hapa mjini (Arusha) mmekuwa ni kero kubwa, hiyo mi vyombo yenu inatupigia kelele na inashtua sana, sijui kwa wagongwa wenye shida na mioyo yao huwa wanajiskiaje!

Mbadilike, kwani izo gari zenu zikilia kwa utaratibu hamfiki huko muendako?
Lekebisheni gari zenu, au kwa hili tu hadi J makamba na NEMC yake wapaze sauti ndio muwasikie?

Mbona majiji mengine hii kitu imepoa sana au ndio ulimbukeni wa home boys wenzangu hapa
Hapana, siyo nose pollution ni noise pollution!
 
Km maisha ya Arusha yamekushinda ucsingizie starehe za watu we unajua ile bike ni sh. ngp?au bei ya subaru mbn watu wa Chuga wana enjoy hizo kelele km vp hamia serengeti ukakae na wanyama pori.
 
Km maisha ya Arusha yamekushinda ucsingizie starehe za watu we unajua ile bike ni sh. ngp?au bei ya subaru mbn watu wa Chuga wana enjoy hizo kelele km vp hamia serengeti ukakae na wanyama pori.
Kwaiyo kelele ni starehe?
 
Jinga wewe kwahiyo ujasoma coment zilizotangulia!

Hasara unayo ww
Ahsante! Wenye muda wa kusoma comments zote naamini ulichoandika kinawahusu.
Ila unaonekana hauko sawa kisaikolojia.
Pia uandishi wako unaonesha ufahamu wako jinsi ulivyo. Umesoma shule gani?
Pole!
 
Back
Top Bottom