Norwegian Man Breaks down after accepting Islam

Wakisilimu wachaga na wakurya mbona hamuandiki humu?
 
Ndugu zao gani waliwaua au na wewe bado tu unaendeleza upagazi kwa waarabu. Bure kabisa.

Baada ya kifo kuna maisha mengine, kumbuka hilo!

Kwako waarabu/waislamu huna mahusiano nao, ila sisi waislamu duniani kote waislamu ni ndugu, hata itokee ukafirini waislamu wanauawa lazima tuumie.
 
Baada ya kifo kuna maisha mengine, kumbuka hilo!

Kwako waarabu/waislamu huna mahusiano nao, ila sisi waislamu duniani kote waislamu ni ndugu, hata itokee ukafirini waislamu wanauawa lazima tuumie.
Watanzania wenzako wao siyo ndugu hata waliuwawa ni sawa tu basi kama ni hivyo tunaounga mkono Israel tuna haki.
 
Watanzania wenzako wao siyo ndugu hata waliuwawa ni sawa tu basi kama ni hivyo tunaounga mkono Israel tuna haki.
Kilichotokea Zanzibar revolution ni sahihi? Waliofanya unyama huo ni sahihi? Wanatofauti gani na mazayuni!
 
This goes to show how weak this guy is, kama si his weakness basi ni ujinga wake tu binafsi. Tumuonee huruma kwa pamoja maana kajitakia mwenyewe na soon atakuja kuwa gaidi. Wait and see.
 
Sasa wao wananchi ya kiislamu wewe tafuta nchi ya kikristo utulie. Wewe unasema Iran sijui Saudia, wewe nenda kwenye ukoo wako tu waambie nabadilisha dini halafu uje utuhadisthie unless huna mtu.
Hiyo unayosema nchi ya kiislamu nani alipanga iwe hivyo kama si watu kama wewe TU!? Au mungu wako ndio aliamuru!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…