one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Unafahamu lakini uislam ulivyoingia Tanzania au dini imekulewesha huwezi kukumbuka.
Kila mtu kasoma, uislamu umeingia kwa njia ya wafanya biashara kutoka nchi za kiarabu ndio maana pwani unanguvu sana. Hakuna mtu aliyepigwa na kama wapo wangetoa ushahidi. Nchi hii ilitawaliwa na kulikuwa na sheria sio kwamba nchi imetawaliwa baada ya uhuru, kulikuwa na watawala kabla ya CCM mbele kwa mbele....Unafahamu lakini uislam ulivyoingia Tanzania au dini imekulewesha huwezi kukumbuka.
Acha uongo bwana, uislamu uliletwa na waarabu waliokuwa wanafanya biashara haramu ya utumwa.Kila mtu kasoma, uislamu umeingia kwa njia ya wafanya biashara kutoka nchi za kiarabu ndio maana pwani unanguvu sana. Hakuna mtu aliyepigwa na kama wapo wangetoa ushahidi. Nchi hii ilitawaliwa na kulikuwa na sheria sio kwamba nchi imetawaliwa baada ya uhuru, kulikuwa na watawala kabla ya CCM mbele kwa mbele....
Mimi nadhani ungeweka facts, tuseme ni kweli watumwa hivi hakuna hata family nchi hii ikatokea na kusema tu, Tunataka kujuwa kuna watu katika family yetu, mjomba sijui shangazi alichukuliwa hatujui yuko wapi. Hivi hawa watumwa hawakuwa na majina au hata ndugu? Na wale watumwa waliozagaa USA, South America na baadhi ya nchi za ulaya nani aliwauza kule? Hivi na yake mauji ya Kimbali Rwanda waarabu ndio chanzo au?Acha uongo bwana, uislamu uliletwa na waarabu waliokuwa wanafanya biashara haramu ya utumwa.
Ni ukweli usiopingika kwamba wakati wa kueneza uislam waarabu walishiriki kufanya mauaji ya kimbali hasa ktk bara la Afrika ambapo kwenye mataifa ambako leo yana idadi kubwa ya waislamu wakazi wengi tayari walikuwa ni wakristo na wengine walikuwa ni waumini wa imani za asili.
Bila kusahau mambo mabaya yaliyofanywa Congo athari zake mpaka leo, nchi za west Africa nchi kama Niger, Mali, Burkina faso nani amewaibia miaka nenda miaka rudi mpaka leo hii, nani?Acha uongo bwana, uislamu uliletwa na waarabu waliokuwa wanafanya biashara haramu ya utumwa.
Ni ukweli usiopingika kwamba wakati wa kueneza uislam waarabu walishiriki kufanya mauaji ya kimbali hasa ktk bara la Afrika ambapo kwenye mataifa ambako leo yana idadi kubwa ya waislamu wakazi wengi tayari walikuwa ni wakristo na wengine walikuwa ni waumini wa imani za asili.
huyo mzungu mmoja mmoja kubadilisha dini unaona ni big deal na waarabu wanaobadilisha dini na kuwa wakristo
Tatizo kubwa la dini ya uislamu ni inferiority complex
Nchi kama saudi arabia, na irani ni kosa la jinai kubadilisha dini
Ndugu waislamu ila na Waarabu wanaobadili dini kua wakristo msiwanyonge au kuwaua hivo ndio uhuru wa kidini unavotakiwa duniani koteView attachment 2853491
Mnorway Asilimu.....Baada ya kutoa Shahada amelia machozi kwa hisia za kiiman.....Allah ampe Istiqama yeye na sisi pamoja.
Katika Surat An-Nasr (The Help)
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ
An-Nasr 1
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا
An-Nasr 2
Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
Shukran nyingi sana zimuendee ndugu yetu Sheikh Rashid Al Shukery kutoka Nchini Oman, hakika unawapambania Ndugu zetu wapalestina n.k, unatupatia madini/taarifa nyingi za ndugu zetu waislamu, ikiwa pamoja na "wanaoingia katika Uisilamu, Takbiir, Allahu Akbar!
Allah akulipe kila la kheri ewe Ndugu yetu, Sheikh Rashid!
MashallahView attachment 2853491

Unafikiri mkiwa wengi ndo mtatawala dunia endelea kujidanganya Mfano israel ni wachache sana middle east lakin walishawatembezea kichapo nchi zaidi ya tano za kiarabu mwaka 1967View attachment 2854230
Leta ushahidi tukuamini kwamba ukafiri ndio unakuwa zaidi ya Uislamu
Unafikiri mkiwa wengi ndo mtatawala dunia endelea kujidanganya Mfano israel ni wachache sana middle east lakin walishawatembezea kichapo nchi zaidi ya tano za kiarabu mwaka 1967
Ili utawale dunia unatakiwa uwekeze kwenye technologia na uchumi na sio kuwa wengi kama waislamu mnavyojidanya
Kafiri anawanyoosha kule gazaView attachment 2854312
Kabla hatujaendelea Ma mada, vipi kafiri umeisha barikiwa kanisani kama mlivyo agizwa na Yesu na papaa flansis
Kafiri anawanyoosha kule gaza
Ndugu waislamu ila na Waarabu wanaobadili dini kua wakristo msiwanyonge au kuwaua hivo ndio uhuru wa kidini unavotakiwa duniani kote
Usimlazimishe mtu afate imani yako kwa kutaka kumuua,acheni aamue mwenyewe kwa akili yake timamu na sio kumtishia kumtoa uhai
Unaweza jikuta una waumini wengi kumbe ni wakulazimishwa
Uamuzi sahihi ni mtu aamue mwenyewe,Mungu mwenyewe kampa binadamu uhuru wa kuchagua Jema au baya
Utumwa ni uovu uliofanyika kwa millennium nyingi sana toka binadamu kuumbwa na hakuna hata msaafu hata moja uliopinga uovu huo.Mimi nadhani ungeweka facts, tuseme ni kweli watumwa hivi hakuna hata family nchi hii ikatokea na kusema tu, Tunataka kujuwa kuna watu katika family yetu, mjomba sijui shangazi alichukuliwa hatujui yuko wapi. Hivi hawa watumwa hawakuwa na majina au hata ndugu? Na wale watumwa waliozagaa USA, South America na baadhi ya nchi za ulaya nani aliwauza kule? Hivi na yake mauji ya Kimbali Rwanda waarabu ndio chanzo au?
Unafikiri mkiwa wengi ndo mtatawala dunia endelea kujidanganya Mfano israel ni wachache sana middle east lakin walishawatembezea kichapo nchi zaidi ya tano za kiarabu mwaka 1967
Ili utawale dunia unatakiwa uwekeze kwenye technologia na uchumi na sio kuwa wengi kama waislamu mnavyojidanya
Utumwa ni uovu uliofanyika kwa millennium nyingi sana toka binadamu kuumbwa na hakuna hata msaafu hata moja uliopinga uovu huo.
Wazungu pamoja na kushiriki kwao kwa kiwango kikubwa ktk uovu huu lakini ndio walewale walioshiriki tena ktk kuutokomeza.
Kwa kuwa hii ni biashara iliyofanyika kwa karne na karne sijui utawezaje leo hii kuwatambua kwa majina hao wahanga wa uovu huo.
Biashara haramu ya utumwa ilipigwa marufuku katika iliyokuwa Tanganyika baada ya wakoloni wa Ujerumani kuja 1885 na kudai kwamba walihitaji nguvukazi kwa ajili ya kuendesha mambo yao katika koloni lao jipya la Tanganyika na wakaanza kuwatimua waarabu.
Umempa za uso, yani hawa watu chuki zimewajaa vifuani mwao.,Mimi nadhani ungeweka facts, tuseme ni kweli watumwa hivi hakuna hata family nchi hii ikatokea na kusema tu, Tunataka kujuwa kuna watu katika family yetu, mjomba sijui shangazi alichukuliwa hatujui yuko wapi. Hivi hawa watumwa hawakuwa na majina au hata ndugu? Na wale watumwa waliozagaa USA, South America na baadhi ya nchi za ulaya nani aliwauza kule? Hivi na yake mauji ya Kimbali Rwanda waarabu ndio chanzo au?
Kwenye vita wanajeshi kuuliwa ni kawaida kwa pande zote ila so far mshindi ni israeliPropaganda
Ungejua wanajeshi wanauawa huko Gaza wala usingekuja na propaganda.
Wiki iliyopita wanajeshi 48 wameuawa na makomandoo wa Hamas
Hebu nionyeshe vifo vya hamas! Wale ni mahodari kwa kuuwa watoto, wama, wazee, vijana. Ila kwa hamas wameshindwa mpaka sasa.
Allah anasubiria muwe wengi ndo awasaidie huyo Mungu waajabu sanaHizo ni chuki zenu tu kwa waarabu na waislamu kwa ujumla, kwani hatuwajui!. pamoja na yote mtaongea na kupiga kelele sana ila uislamu unazidi kunawiri kila kukicha
Wametoka katika giza👇
View attachment 2854323
View attachment 2854322