Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Nadhani una uelewa mdogo sana hivi unajuwa waarabu wakristo ni wengi tu, Iraq, Egypt, Palestine, Syria, Lebanon.... waarabu mayahudi wengi tu nchi za kiarabu. Nadhani ulitakiwa ujiulize tu kwanini wengi wanaenda upande mmoja maana kwa tarakimu za duniani ndio dini inakuwa tu.. Hawa wazungu na mazuri yao lakini jamii zao zinachangamoto kubwa sana, wanawake ngumu kuishi nao kuowa ni majanga kwao, kuna issue nyingi zinawaathiri wanakosa amani baada ya muda. wanatafuta comfort.Ingekuwa ni uarabuni mfano Iran muislam abadili dini kuwa mkristo angenyongwa hadharani!.
Sijui ni kuelimika au nn, waislam dini inawapelekaga puta sana!.
huyo mzungu mmoja mmoja kubadilisha dini unaona ni big deal na waarabu wanaobadilisha dini na kuwa wakristoNadhani una uelewa mdogo sana hivi unajuwa waarabu wakristo ni wengi tu, Iraq, Egypt, Palestine, Syria, Lebanon.... waarabu mayahudi wengi tu nchi za kiarabu. Nadhani ulitakiwa ujiulize tu kwanini wengi wanaenda upande mmoja maana kwa tarakimu za duniani ndio dini inakuwa tu.. Hawa wazungu na mazuri yao lakini jamii zao zinachangamoto kubwa sana, wanawake ngumu kuishi nao kuowa ni majanga kwao, kuna issue nyingi zinawaathiri wanakosa amani baada ya muda. wanatafuta comfort.
Wanaamini wakiwa wengi ndo watatawala dunia wana ambitious za ajabu sana yaani allah awezi wasaidia mpaka wawe wengiKatika nchi zenye waislamu wengi waga inafahamika ukoo gani ni waislam na ukoo gani ni wakristo sasa tatizo linakuja pale wa ukoo wa kiislam akitaka kujiondoa ktk uislam iwe awe mkristo hapo ndio huyo mtu anatangaziwa fatwa ili auawe.
Lakini cha ajabu kama anatoka ukoo wa kikristo na anataka kuslimu hapo hamna shida na atapokelewa kwa shangwe na nderemo.
People are more concerned with having a collosal number of followers than to see how they can go to heaven and Islam is a typical example of this concept.
Sasa wao wananchi ya kiislamu wewe tafuta nchi ya kikristo utulie. Wewe unasema Iran sijui Saudia, wewe nenda kwenye ukoo wako tu waambie nabadilisha dini halafu uje utuhadisthie unless huna mtu.huyo mzungu mmoja mmoja kubadilisha dini unaona ni big deal na waarabu wanaobadilisha dini na kuwa wakristo
Tatizo kubwa la dini ya uislamu ni inferiority complex
Nchi kama saudi arabia, na irani ni kosa la jinai kubadilisha dini
Lebanon ilikuwa nchi ya Kikristu, kupokea wakimbizi ndio kumeifanya hugo nchi kuwa na waislam wengi.Nadhani una uelewa mdogo sana hivi unajuwa waarabu wakristo ni wengi tu, Iraq, Egypt, Palestine, Syria, Lebanon.... waarabu mayahudi wengi tu nchi za kiarabu. Nadhani ulitakiwa ujiulize tu kwanini wengi wanaenda upande mmoja maana kwa tarakimu za duniani ndio dini inakuwa tu.. Hawa wazungu na mazuri yao lakini jamii zao zinachangamoto kubwa sana, wanawake ngumu kuishi nao kuowa ni majanga kwao, kuna issue nyingi zinawaathiri wanakosa amani baada ya muda. wanatafuta comfort.
Wewe rudi shule kasome tena hujui history, sasa kwa faida yako tu miaka 500 nyuma wakristo walikuwa ni majority katika nchi zote za kiarabu ndio maana nenda nchi zote utakuta makanisa ya miaka hiyo. Ni kukuwa kwa waislamu ndio wakawa majority.Lebanon ilikuwa nchi ya Kikristu, kupokea wakimbizi ndio kumeifanya hugo nchi kuwa na waislam wengi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Uislamu ulienezwa kwa upanga kupitia caliphate either uwe muislamu au uuliwe ndo maana wengi wakawa waislamuWewe rudi shule kasome tena hujui history, sasa kwa faida yako tu miaka 500 nyuma wakristo walikuwa ni majority katika nchi zote za kiarabu ndio maana nenda nchi zote utakuta makanisa ya miaka hiyo. Ni kukuwa kwa waislamu ndio wakawa majority.
Nimekuambia miaka 500 tu wakristo walikuwa majority. Wewe unajuwa history ya Roman.Uislamu ulienezwa kwa upanga kupitia caliphate either uwe muislamu au uuliwe ndo maana wengi wakawa waislamu
Hivi Tanzania wakati uislamu unaingia kuna watu walipigwa panga?Uislamu ulienezwa kwa upanga kupitia caliphate either uwe muislamu au uuliwe ndo maana wengi wakawa waislamu
Ni fikra za kipumbavu kabisa hizo. Hamuwezi kuitawala dunia eti kisa mko wengi watu wa imani moja ya dini.Wanaamini wakiwa wengi ndo watatawala dunia wana ambitious za ajabu sana yaani allah awezi wasaidia mpaka wawe wengi
Dini zingine zimewafanya watu kuwa mazuzu. Ati mzungu mmoja anaingia kwenye uislamu inatangazwa dunia nzima. Hebu kesho kutwa aende kwa mwamposa na makanisa mengine aone akina Hadija, mwamvua, ashura nk walioamua kuingia ktk ukristo na wakristo hatuna makelele.Ingekuwa ni uarabuni mfano Iran muislam abadili dini kuwa mkristo angenyongwa hadharani!.
Sijui ni kuelimika au nn, waislam dini inawapelekaga puta sana!.
Unafahamu lakini uislam ulivyoingia Tanzania au dini imekulewesha huwezi kukumbuka.Hivi Tanzania wakati uislamu unaingia kuna watu walipigwa panga?
wanajidanganya sana. Kinacho nikera, wanaharibu nchi zao, wanakimbilia kwa wazungu.Wanaamini wakiwa wengi ndo watatawala dunia wana ambitious za ajabu sana yaani allah awezi wasaidia mpaka wawe wengi
Wewe kiboko, unakumbuka? mzee una miaka mingapi. Mungu akupe miaka 200 uishi tenaUnafahamu lakini uislam ulivyoingia Tanzania au dini imekulewesha huwezi kukumbuka.